Dkt. Turuka Atembelea Kikosi cha...
Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na JKT Dkt. Florens Turuka Ametembelea Kamandi ya Jeshi la Anga katika Kikosi cha Usafirishaji Ukonga. Katika Ziara yake aliyoifanya tarehe 07 Februari, 2017 katika kikosi cha Usafirishaji Ukongo aliweza kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kamandi ya Jeshi la Anga Tanzania na kujionea Zana na Vifaa vya Kamandi hii.
Habari Mpya
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ul...
April 12, 2018 -
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli Ameliagiz...
April 07, 2018 -
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Martin Busungu amemthibitishia...
April 07, 2018 -
Lilikuwa ni tukio la kusismua pale Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania M...
April 07, 2018