Uwakilishi wa TUICO
Sekta Tunazozihudumia
TUICO inahudumia wafanyakazi katika sekta nne (4): viwanda, biashara, taasisi za fedha, na huduma na ushauri.
Viwanda
Sekta ya Viwanda inahusisha wafanyakazi wanaofanya kazi katika uzalishaji, usindikaji, mitambo ya uzalishaji, uhandisi, na taasisi nyingine za viwanda...
Angalia Sekta →Biashara
Sekta ya Biashara inahusisha wafanyakazi wanaofanya kazi katika biashara, shughuli za uuzaji wa jumla na rejareja, usambazaji, pamoja na taasisi zinaz...
Angalia Sekta →Taasisi za Fedha
Sekta ya Taasisi za Fedha inahusisha wafanyakazi wanaofanya kazi katika benki, kampuni za bima, taasisi za fedha ndogo, na watoa huduma nyingine za ki...
Angalia Sekta →Huduma na Ushauri
Sekta ya Huduma na Ushauri inahusisha wafanyakazi wanaofanya kazi katika sekta za huduma, kampuni za ushauri, huduma za kitaalamu, na taasisi nyingine...
Angalia Sekta →