TUICO
Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO)

Eneo la Kimkakati

Utawala wa Chama na Kuimarisha Uwezo

Maelezo ya Eneo

Kuimarisha uongozi, mifumo ya utawala, idara na vitengo vya TUICO kuanzia ngazi ya tawi hadi taifa ili kuboresha uwajibikaji, uwezo wa Chama na utoaji wa huduma kwa wanachama.