Uhamasishaji na Ujenzi wa Chama
Kupanua idadi ya wanachama na kuimarisha uwakilishi wa wafanyakazi katika sekta za viwanda, biashara, taasisi za fedha, huduma na ushauri.
Angalia Maelezo →Mwelekeo wa Kimkakati
Mwelekeo unaoongoza vipaumbele na utekelezaji wa TUICO.
Vipaumbele
Kupanua idadi ya wanachama na kuimarisha uwakilishi wa wafanyakazi katika sekta za viwanda, biashara, taasisi za fedha, huduma na ushauri.
Angalia Maelezo →Kujadiliana kupitia mikataba ya majadiliano ya pamoja ili kuboresha mishahara, stahiki na mazingira ya kazi, ikiwemo kupata masharti bora zaidi ya aji...
Angalia Maelezo →Kutoa mafunzo kuhusu haki za wafanyakazi, sheria za kazi na maendeleo ya ujuzi ili kuwawezesha wanachama kutetea haki na maslahi yao.
Angalia Maelezo →Kushirikiana na waajiri, Serikali na wadau wengine kupitia majadiliano yanayolenga kuimarisha kazi zenye staha na kutatua migogoro mahali pa kazi.
Angalia Maelezo →Kutetea utekelezaji wa sheria za kazi, usawa wa kijinsia na ulinzi dhidi ya ubaguzi mahali pa kazi.
Angalia Maelezo →Kuhamasisha mazingira salama ya kazi na kulinda afya, ustawi na maslahi ya wanachama.
Angalia Maelezo →Utekelezaji
Hakuna programu zinazoendelea kwa sasa.
Hakuna programu zilizopita kwa sasa.