TUICO
Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO)

Idara

Sheria

Kuhusu Idara

Idara ya Sheria hutoa msaada na ushauri wa kisheria kwa TUICO katika masuala yanayohusu haki za wafanyakazi, mahusiano ya ajira, majadiliano ya pamoja, migogoro ya kikazi, pamoja na masuala mengine ya kisheria yanayohusu Chama na wale kinaowawakilisha.

Mifano ya kazi

  • Maelekezo kuhusu haki za wafanyakazi
  • Msaada kuhusu migogoro ya kazi
  • Maelekezo kuhusu masuala ya kinidhamu
  • Msaada katika majadiliano ya pamoja

Mkuu wa Idara

Adv. Noel Nchimbi

Adv. Noel Nchimbi

Mkuu wa Idara ya Sheria

← Rudi kwenye Idara