TUICO
Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO)

Idara

Wanawake, Afya na Usalama Kazini na Wafanyakazi Wenye Ulemavu

Kuhusu Idara

Idara ya Wanawake, Afya, Usalama na Wafanyakazi Wenye Ulemavu inashughulikia masuala yanayowahusu wanawake, afya na usalama kazini, pamoja na ushirikishwaji na ulinzi wa watu wenye ulemavu katika maeneo ya kazi na shughuli za Chama.

Mifano ya kazi

  • Ushiriki na haki za wanawake
  • Afya na usalama mahali pa kazi
  • Ujumuishaji wa wafanyakazi wenye ulemavu

Mkuu wa Idara

Maria Bange

Maria Bange

Mkuu wa Idara ya Wanawake, Afya na Usalama Kazini na Wafanyakazi Wenye Ulemavu

← Rudi kwenye Idara