logo

Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers
Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri

logo

Idara ya Elimu na Vijana

UTANGULIZI

Idara hii inashughulikia Mafunzo na Kuratibu masuala yote ya Vijana ndani Chama.

MAJUKUMU YA IDARA

Idara inatekeleza majukumu yafuatayo;

1. Kuandaa Makala za kufundishia

2. Kuratibu shughuli zote za Elimu.

3. Kuratibu masuala yote ya Vijana.

Watumishi wa TUICO wakiwa katika mafunzo ya TEHAMA.