logo

Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers
Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri

logo

KITENGO CHA UCHUMI NA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO

    UTANGULIZI

    Kitengo hiki kinashughulikia masuala ya Habari, Takwimu na Mawasiliano katika Chama.

    MAJUKUMU YA KITENGO

    1. Kukusanya na kuchambua taarifa mbalimbali.

    2. Kusimamia Miradi ya Kiuchumi na Uwekezaji.

    3. Kufanya tafiti kuhusu masuala ya Kiuchumi.

    4. Kusimamia Mifumo ya Habari na Mawasiliano.

    5. Kusimamia Machapisho na Matangazo kuhusu Majukumu ya Chama kwenye vyombo vya Habari.