logo

Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers
Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri

logo

IDARA YA WANAWAKE, AFYA NA USALAMA

    UTANGULIZI

    Idara inahusika Kuratibu na kusimamia shughuli za Wafanyakazi Wanawake, Wanachama na watu wenye Ulemavu. Pia inashughulikia masuala ya Afya na Usalama mahala pa Kazi.

    MAJUKUMU YA IDARA

    Idara inaratibu na kusimamia kazi zifuatazo;

    1. Kufanya Mikutano

    2. Kupanga na kutembelea maeneo ya kazi.

    3. Kuhamasisha Wafanyakazi Wanawake na Wenye Ulemavu kujiunga na Chama.

    4. Kusimamia utekelezaji wa Sera za Chama zinazohusu Wanawake, Afya na Usalama na Ukimwi.

Baadhi ya Wafanyakazi Wanawake kutoka TUICO wakiadhimisha siku ya Wanawake Duniani