logo

Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers
Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri

logo

IDARA YA SHERIA

    UTANGULIZI

    Idara hii inashughulika na masuala yote ya Sheria katika Chama. Idara inasimamia migogoro ya kikazi ya Wanachama mbele ya vyombo vya kimaamuzi kama vile Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Tume ya Utumishi wa Umma, Mahakama Kuu divisheni ya Kazi na Mahakama ya Rufaa.

    MAJUKUMU YA IDARA

    1. Kuandaa nyaraka za kisheria

    2. Kukiwakilisha Chama katika masuala ya kisheria

    3. Kuwawakilisha Wanachama kwenye Utatuzi wa migogoro ya kikazi