logo

Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers
Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri

logo

UHAMASISHAJI NA UHUSIANO WA KIMATAIFA

    UTANGULIZI

    Kitengo hiki kinashughulika na Uhamasishaji wa Wafanyakazi kujiunga na Chama na kuimarisha Uhusiano wa Kimataifa.


    MAJUKUMU YA KITENGO

    1.Kuhamasisha Wafanyakazi kujiunga na Chama na kuandikisha Wanachama wapya.

    2. Kuandaa na kuratibu maandiko ya Miradi mbalimbali.

    3. Kuandaa programu mbalimbali za kubadilishana Ujuzi na Uzoefu.

    4. Kukuza na kudumisha Uhusiano wa Kimataifa.